17.6.2019
saat

All Language

Wakfu Sadaka Na Huduma Katıka Uıslamu

     Kitabu hiki kinaeleza umuhimu wa Sadaka na utoaji wa sadakakatika ku endeleza jamii zetu.


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-864-1

  

Alfabeti Za Quran

     Kitabu hiki kinamsaidia mtoto kujua kusoma na kuhifadhi kiwepesi Alfabet za Kiarabu.


Kommissionen

  

Pumzi Ya Mwisho

     Kuvuta pumzi ya mwisho ni jambo lisilokwepeka kwetu wanadamu. Swali muhimu kulitengezea majibu kwa wakati huu ni jinsi gani utaivuta? Kwa kila pumzi maisha yetu yanarefuka, lakini siku moja suala hili litasimama. Ustadh Othman Nuri Topbas ametupatia ukumbusho adhimu wa namna ya kujindaa na umauti ndani ya kitabu hiki, wapo walioishi maisha furaha yakeli lakini wakaikosa ladha nzuri ya pumzi hiyo wakatamani kuongezewa japo sekunde chache ili warekebishe hali zao hizo za mwisho na pia wapo walioishi pasi na kujali wala kufahamu umuhimu wa maandalizi ya jambo hili lakini mwisho wa uhai wao wakabadilika, wakaamini na kujikuta wakiivuta pumzi hiyo kati hali ya salama na amani.


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-712-5

  

Ustaarabu Wa Watu Wema - 1

     Ili tuweze kupata sifa za juu zitakazotufanya tuwe wenye kukubaliwa mbele ya Mwenyezi Mungu, hatuna budi kustawisha upendo wa dhati kwa marafiki wa Mwenyezi Mungu na Mtukufu Mtume (s.a.w) ambaye wanampenda kwa dhati. Na yeye ndiye tunayepaswa kumfuata.


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-713-2

  

Ustaarabu Wa Watu Wema - 2

     Tukimtambua leo, naye atatutambua kesho mbele ya ule mkusanyiko mkubwa wa Siku ya Mwisho. Tukifikia hali ambayo tunamuona katika uhalisia basin aye atatuona. Tukisikiliza na kufanya kama asemavyo, atavisikia vilio vyetu na kutushika mkono. Kwa namna hii, tutakuwa kielelezo cha mfano wake mwema kwa wengine. Huu ndio wema mkubwa kabisa kuliko wote.


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-714-9

  

Mtume Mteule Muhammad Mustafa - 1

     Ukizingatia kuwa ni mwangaza wa Muhammad(s.a.w) ndiyo unaotoa sababu ya uhai wa viumbe wote, haiwezekani kutenda haki (katika simulizi), kwa kutumia maneno haya dhalili, kuelezea maisha  ya kipekee na yasiyo doa, katika binadamu aliyeheshimika, ‘kipenzi’ cha Muumba.  Lakini, manufaa yasiyohesabika yanamsubiri kila mtu, kwa mazingatio ya umahiri, katika kuthubutu kuyasimulia maisha ya Mtume aliyebarikiwa, na kuzifikisha sifa zake kwa vizazi vipya. Hivyo, tutajichukulia kuwa miongoni mwa waliopewa heshima, iwapo kupitia kazi hii.


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-680-7

  

Mtume Mteule Muhammad Mustafa - 2

     Kutokana na masaibu ya zama zetu, ambapo tunakabiliwa na dhuluma, ukosefu wa huruma, upendo na imani, mwanadamu wa sasa amesongwa na kukabwa na ujinga wa zama za sasa. Njia pekee ya kuelekea kwenye tiba inapatikana katika kunufaika na siri kuu zinazopatikana ndani ya Nuru ya milele ya Muhammad (s.a.w).


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-681-4

  

Tabıa Za Mfano Za Marafıkı Wa Allah - 1

     Marafiki wa Mwenyezi Mungu ni njia za Baraka na rehema kwa majirani zao. Wao ni mikono ya huruma inayoyakumbatia makundi yote ya jamii. Wao pia ni kama sumaku inayowavuta waumini kwa kuwa Mwenyezi Mungu amewapenda watu hawa wema na watu nao pia wanalazimika kuwapenda.


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-710-1

  

Rehma Ya Ajabu

     Ni dhahiri kuwa mwenyezi Mungu anapenda rehma na huruma, kwa maana huruma ya Mwenyezi Mungu inaishinda hasira na ghadhabu Yake. Mwenyezi Mungu anamsifu na kumuelezea mjum­be Wake wa mwisho, Mtume Muhammad (s.a.w) kuwa ni rehma kwa  walimwengu kwa kusema: “Nasi hatukukutuma ila uwe ni Rehema kwa walimwengu wote.” (Al-Anbiya, 21: 107)


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-687-6

  

  1. Page :
  2. |
  3. 1
  4. |
  5. 2
  6. |
  7. 3
  8. |
  9. 4
STATISTICS :    Total number of languages : 53    Total number of materials : 1.457    Total number of downloads : 1.229.709      ALL STATISTIC 

Coded by IBB SOFT