17.6.2019
saat

All Language

Mtume Wa Rehma Muhammad (s.a.w)

     Kitabu hiki ni utangulizi mzuri juu ya maisha ya Mtume Muhammad (s.a.w), kilichoandikwa na Mwandishi maarufu wa Kituruki Sheikh Othman Nuri TOPBASH ambaye amejitolea maisha yake kwa kujifunza, kufanyia kazi, kuyaeneza na kuyasambaza mafundisho ya Mtume (s.a.w).


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-685-2

  

101 Katika Elimu Na Malezi

     Kama ambavyo haiwezekani kwa jua kutopata moto, vivyo hivyo, haiwezekani kwa nyoyo zenye upendo, unyoofu, na furaha ya imani kutohurumiana. Marafiki wa Mwenyezi Mungu wenye uwezo wa kuwatazama viumbe kupitia jicho la Muumba; wenye uwezo wa kutazama kwa huruma, upole na upendo; na wenye kupata uzima katika chemichemi ya upendo na huruma wataendelea kuwa kama marafiki wa viumbe wote.


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-670-8

  

Kanunı Za Maısha Kutoka Kwa Makhalıfa Wanne Walıoongoka

     Watu katika zama hizo tukufu walitoka katika giza totoro la ujinga(Jahiliyyah) na kushika njia ielekeayo kwenye ustaarabu wa wema. Kupitia kitabu hiki tunajifunza maisha mema ili tuweze kuzijenga Dunia na Akhera zetu.


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-691-3

  

Nyumba Yenye Amani

     Kabla ya uumbaji wa ulimwengu, Mwenyezi Mungu Mtukufu alikua ni hazina iliyofichika. Akapenda kujulikana , ndipo akaumba vyote vilivyopo. Upendo wa Mwenyezi Mungu ndio kiini cha mapenzi yote na Mwenyezi Mungu amefanya aina nyingine za upendo ni kama hatua za maandalizi na zenye kumuinua mja kuelekea kwenye upendo wa Mwenyezi Mungu.
     -Usikose nakala yako ya kitabu hili


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-682-1

  

Jamii Ya Zama Za Furaha

     Zama za furaha, ni kipindi kile cha wakati wa amani na furaha, ambapo binadamu walifurahia maisha mazuri na yenye neema nyingi mno.


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-668-5

  

Usufi

     Kuiingiza imani ndani ya moyo (ihsan), jambo ambalo ndilo lengo kuu la usufi, ni kuingia kwenye tafakari ya kiroho yenye kuendelea pamoja na kutambua kuwa upo chini ya uangalizi wa Mola.


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-684-5

  

Uıslamu Imanı Na Matendo

     Kila mwenye akili timamu anafahamu kuwa ulimwengu huu umeumbwa kwa lengo maalum.ili kutimiza lengo Allah ameituma mitume pamoja na dini ili kuwaongoza watu. Waislamu walipoutekeleza uislamu wao imani zao zilionekana katika matendo waliokuwa wakiyatenda.Ibada zimekuwa zikitekelezwa bila kufikiriwa kanakwamba ni ada na desturi za jamii ya huku roho ya uislamu ikikosekana kabisa.Kitabu hiki kinalenga kuangaza eneo la kiroho la ibada za kiislamu na kuzipamba kwa vazi la na visa vya mitume na vmaswahaba wao na Masuffi wema.


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-711-8

  

Kiigizo Kisichokuwa Na Mfano Muhammad Mustafa

     Mwenyezi Mungu mtukufu alimtuma mtume kuwa ni rehma ya milele kwa viumbe wote.Mtume mtukufu ndiye aliyekuwa kielelezo kamili katika kumfunda na kumlea mwanadamu kwa mifano ya kimatendo isiyokuwa na kikomo na ambayo ilishuhudiwa katika maisha yake. Bila shaka hakuna kiigizo kinachofanana nae, na mafanikio ya wanadamu ni katika kumuiga na kumfuata na kujitahidi kufungamana na shakhsia yake ikiwemo kumpenda toka nyoyoni.Mwandishi amefafanua umuhimu wa kumuiga pia ameelezea visa na hali mbalimbali za mtume mtukufu Muhammad Mustafa (s.a.w).


Othman Nuri Topbash
ISBN: 978-9944-83-669-2

  

Hadithi 40 Za Watoto Pamoja Na Visa

     Maneno ya mtume (s.a.w) yanaitwa hadithi. Mtume wetu mpendwa alituletea Qur an au maamrisho ya M/mungu. Alitufafanulia maamrisho haya kupitia hadithi zake.Kupitia maneno yake alitufundisha yale tunayohitajika kuyafanya ili tuwe wenye furaha katika maisha haya na kesho akhera.Tunatakiwa kuyasoma mara kwa mara maneno ya mtume s.a.w. Ninafahamu kuwa wengi wanapenda kusoma visa hivyo nami nimekuletea hadithi arobaini sambamba na visa mbalimbali vyenye kutufunza mbao ya dini yetu.


Prof. Dkt. M.Yasar Kandemir
ISBN: 978-9944-83-671-5

  

  1. Page :
  2. |
  3. 1
  4. |
  5. 2
  6. |
  7. 3
  8. |
  9. 4
STATISTICS :    Total number of languages : 53    Total number of materials : 1.457    Total number of downloads : 1.229.708      ALL STATISTIC 

Coded by IBB SOFT