Historia Ya Uislamu

HISTORIA YA UISLAMU imefundishwa mara nyingi na maisha ya mtume wetu mpwendwa (s.a.w) pia yameelezewa kwa kila namna. Nasi tunawajibika kuwapa Watoto wetu urithi wa kiroho na maadili kwa kujifunza mambo muhimu ambayo yanajumuisha tamaduni na maadili ya kiislamu.
Hii ndio sababu kitabu hiki kimeandikwa kwa kuelezea maisha na uzoefu wa watangulizi wetu wa utukufu.
Kitabu hiki kinaelezea maisha ya Nabii wetu mpendwa(S.a.w) na moja ya zama iliyoongozwa vyema na kwenda Dola ya wauthmanıya (Ottoman Empire). Utapata maswali mengi na njia maalumu za kufundishia ili kuwasaidia wanafunzi kuwa na maarifa zaidi juu ya mada hii ya “HISTORIA YA UISLAMU”.


Read In Other Languages

ALBANIAN
ARABIC
DUTCH
ENGLISH
FRENCH
KYRGYZ
RUSSIAN