Sımulızı Ya Fılımbı Ya Mwanzı
Nai (filimbi) iliyotajwa katika simulizi za Rumi, kiuhalisia, inamwakilisha mwanada mu aliyekamilika (insaan-i kaamil). Hatua ambazo filimbi huzipitia kuanzia kwenye hatua ya kumea mpaka kuwa nai kamili huelezea vizuri kukomaa kwa mwanadamu, yaani hatua hizo ni kielelezo cha hatua ambazo mwanadamu huzipitia katika kuitakasa nafsi na kuung’arisha moyo wake.