Rehma Ya Ajabu

Ni dhahiri kuwa mwenyezi Mungu anapenda rehma na huruma, kwa maana huruma ya Mwenyezi Mungu inaishinda hasira na ghadhabu Yake. Mwenyezi Mungu anamsifu na kumuelezea mjum­be Wake wa mwisho, Mtume Muhammad (s.a.w) kuwa ni rehma kwa walimwengu kwa kusema: “Nasi hatukukutuma ila uwe ni Rehema kwa walimwengu wote.” (Al-Anbiya, 21: 107)


Read In Other Languages

ALBANIAN
ARABIC
ENGLISH
KAZAKH
KURDISH
PORTUGUESE
RUSSIAN