Mtume Wa Rehma Muhammad (S.a.w)
Kitabu hiki ni utangulizi mzuri juu ya maisha ya Mtume Muhammad (s.a.w), kilichoandikwa na Mwandishi maarufu wa Kituruki Sheikh Othman Nuri TOPBASH ambaye amejitolea maisha yake kwa kujifunza, kufanyia kazi, kuyaeneza na kuyasambaza mafundisho ya Mtume (s.a.w).